Wednesday, December 14, 2016

MBINU 3 ZA KUSHINDA MAGUMU MAISHANI



Majaribu na matatizo ni sehemu ya maisha ambayo kila aliye hai atapitia. Unapopitia majaribu usidhani upo peke yako, watu wengi wanapitia magumu kuliko yako,sema tu huwafahamu au unawafahamu lakini hujui wanayopitia.
Zingatia yafuatayo ili uweze kushinda magumu na kuwa mwenye furaha:

Usifanye Hali ya Kushindwa ni Yako Peke Yako:
Hebu fikiria mtu mmoja anaposema ameshindwa mara tatu lakini hakukata tamaa akaendelea kujaribu tena na mwingine aseme nilishindwa mara moja na sikujaribu tena.
Kuna uwezekano mkubwa wewe umeshindwa kwa sababu hujataka kujaribu tena,na tunajaribu tena hata tunaposhindwa kwa sababu hakuna mtu aliyeumbwa kushindwa ila majaribu yanapozidi ndio tunafikiri kwamba haiwezekani kushinda.
Changamoto unazopitia siyo mpya wengi wamepitia ila kwako wewe ni mpya.

Kushindwa Leo Haina Maana Kesho Utashindwa Tena:
Je umeshindwa kwenye jambo gani?ndoa,mahusiano,kazi,biashara au huduma?
Usiogope inawezekana tena kushinda ikiwa Mungu amekuacha uishi.
Kila siku ya maisha ni darasa na kila tatizo unalopitia ni mwalimu.
Kushindwa siyo mwisho wa mashindano inategemea unafanya nini kushinda tena.
Usikubali kuishia kushindwa tu.

Fanya Yafuatayo Ili Ushinde Baada ya Kushindwa:
Tambua kushindwa kwako na ukubali yaani jiambie kabisa kuwa ni kweli hapa nimeshindwa na kwanini nimeshindwa.
  1. Acha kutoa visababu unaposhindwa mfano mimi ni masikini sababu wazazi hawakunisomesha au nimeshindwa mahusiano sababu sina sura nzuri.
  2. Usiogope kuonekana umeshindwa : Kosa kubwa maishani ni kuishi ukiwa na hofu ya kushindwa tena na kubali kwamba kushindwa ni sehemu ya maisha.
  3. Kubali kukosolewa na kuelekezwa hivyo basi zingatia haya:
  • Usijifanye unajua kila kitu
  • Jifunze kwa walioshinda.
  • Waza zaidi mbinu mpya za kushinda tena.
  • Weka malengo juu ya hicho unachotaka kushinda.
  • Heshimu unachofanya na unachosema ili kweli unachopanga kiwe unachofanya.
  • Kuwa na msimamo kwa unachofanya.
D. Anza kufanya haya ushinde
  • Usipoteze muda na mambo ambayo hayatakusaidia kushinda.
  • Usiwaze sana kuhusu mambo yaliyopita.
  • Waza kushinda maana walioshindwa maishani walishindwa akilini.

Hitimisho:
Kushindwa ni hali isiyoepukika na kwamba kushindwa mara nyingine ndio njia ya ushindi.
Kila mtu anapenda kushinda katika mambo mbalimbali maishani ila ushindi hautokei kwa bahati mbaya ushindi unaandaliwa. Wanaoshinda hushinda sababu wana mawazo ya kushinda.  Jijengee msimamo mzuri na mawazo chanya kuhusu kushindwa kwako, na jipange ili uweze kushinda katika hilo unalotaka kulifanya.
Share this article :

2 comments:

  1. KUMTULIZA MKE/MME WAKO MTIMIZE MALENGO YENU.

    ASALAAM WAALAYKUM/ HABARI ZENU NYOTE

    LEO natoa somo Kwa ufupi sana kuhusu mahusiano,
    Kila mtu ana haki ya kupendwa pia kupenda kulingana na mzunguko na harakati za maisha watu wengi wamejikuta aidha kwa wanaume na wanawake wote Kwa ujumla kudharauliwa, kuteswa, kunyimwa unyumba, kupuuzwa na hata kuchepukwa na wake au wachumba zao bila hata hofu yoyote hii ikipelekea familia nyingi au ndoa nyingi kuvunjika na nyingine kuishi bila amani na raha.

    Mwanamke/mwanaume au Binti au kijana unaesoma huu ujumbe husikubali mtu ambaye unamalengo naye kumpoteza hivi na wakati Kwa mwanaume tunatafuta Ili familia zetu zifurahi na mwanamke unaishi Ili kulitunza nyumba au watoto wako.

    Kimekuwa na watoto wengi mitaani kisa wababa kukimbia familia na wamama sikuhizi kukimbia mpaka watoto kwanini usumbuke Dokta Mdiro nakuletea dawa ya KUMTULIZA mme/MKE/mchumba/ au umpendae dawa hii ni tofauti na Limbwata na Haina madhara katika Afya ya akili wana mizunguko ya kilasiku Kwa mhusika
    Dawa hii ya ZIKA HABA Itamfanya umpendae
    AKUPENDE
    AKUSIMILIZE
    AKUHESHIMU
    ASICHEPUKE
    KUKUFANYA KUWA WA KWANZA KWAKE
    Muweze kupanfa mambo yenu na kutimiza mambo yenu ya kimaisha

    Siku zote kumbuka DOKTA MDIRO anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto Mali na Ndagu.

    Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

    Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.

    Basi chukua hatua ya kuwasiliana na DOKTA MDIRO
    CALL/WHATSUP
    +255 742162843

    ReplyDelete
  2. SAFARI YAKO YA MAFANIKIO UTAJIRI NA RIZIKI ZAKO ZIMESIMAMA NA KUZINASUA UWEZE KUSONGA MBELE SOMA KWA UMAKINI UWEZE KUIJUA SIRI HII.

    KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.

    N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843
    MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA PIA UMBALI POPOTE ULIPO KENYA,UGANDA, OMAN, CONGO RWANDA N.K
    WOTE NAWAKARIBISHA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)

    HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO

    i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu

    Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao

    Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana

    ii) JAMBO LA PILI
    Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau

    Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako

    iii) JAMBO LA TATU
    ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake

    iv) UKIWA WAPATA PESA
    ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji

    v) USIMZULUMU MTU
    kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa

    vi) USIZARAH MILA
    ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema

    vii)USIWE WA NAMNA
    1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.

    KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K

    DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.

    ReplyDelete